Hamia kwenye habari

Teknolojia

Ikiwa una simu janja au vifaa vingine vya kielektroni, huenda ukavitumia kwa saa nyingi hata bila kutambua jinsi muda unavyopita. Unawezaje kudhibiti matumizi yako ya teknolojia?

Vifaa vya Kielektroni

Ninapaswa Kujua Nini Kuhusu Michezo ya Kompyuta?

Kuna manufaa na hasara ambazo huenda hukuwa umewahi kufikiria.

Michezo Yangu ya Kompyuta

Daftari hili linaweza kukusaidia uboreshe njia yako ya kukadiria ubora wa michezo yako ya kompyuta.

Michezo ya Video: Je, Kweli Wewe Ndiye Mshindi?

Michezo ya video inaweza kuwa yenye kufurahisha, lakini pia inaweza kuwa na hatari fulani. Unaweza kufanya nini ili kuepuka hatari na kuwa mshindi halisi?

Je, Vifaa Vyako Vinakudhibiti?

Unaishi katika ulimwengu uliounganishwa kielektroni, lakini si lazima teknolojia ikudhibiti. Unaweza kujuaje ikiwa una uraibu wa kutumia kifaa chako cha kielektroni? Ikiwa una tatizo, unaweza kufanya nini ili ujidhibiti badala ya kuacha kikudhibiti?

Ninapaswa Kujua Nini Kuhusu Kutuma Ujumbe Mfupi?

Kutuma ujumbe mfupi kunaweza kuathiri urafiki wako pamoja na wengine na sifa yako. Ona hilo linawezakanaje.

Kupokea au Kutuma Ujumbe kwa Adabu

Je, ni kukosa adabu kukatisha mazungumzo ili usome ujumbe wa simu? Au je, ni vibaya kupuuza ujumbe wa simu ili uendelee na mazungumzo?

Vijana Wanasema Nini Kuhusu Simu za Mkononi

Kwa vijana wengi, simu ya mkononi ndio ufunguo wa kuwa na marafiki. Kuna faida na madhara gani ya kuwa na simu ya mkononi?

Mitandao ya Kijamii

Tumia Mitandao ya Kijamii kwa Hekima

Furahia kuungana na marafiki kwenye Intaneti huku ukihakikisha uko salama.

Umaarufu Mtandaoni Ni Muhimu Kadiri Gani?

Watu fulani huhatarisha maisha yao ili tu kupata wafuasi na alama nyingi zaidi za kupendwa. Je, umaarufu kwenye mtandao ni muhimu sana?

Nifanye Nini Wazazi Wangu Wakinizuia Kutumia Mitandao ya Kijamii?

Huenda ikaonekana kana kwamba kila mtu anatumia mitandao ya kijamii, lakini je, hilo ni kweli? Unaweza kufanya nini wazazi wako wakikuzuia kuitumia?

Mitandao ya Kijamii Inaniathirije?

Mitandao ya kijamii inaweza kumfanya mtu kuwa mraibu wa kuitumia. Mapendekezo haya yanaweza kukusaidia usidhibitiwe na mitandao hiyo.

Ninapaswa Kujua Nini Kuhusu Kutuma au Kutumiwa Picha Mtandaoni?

Kutuma au kutumiwa picha ni njia rahisi ya kuwasiliana na marafiki na watu wa familia, lakini pia kuna hatari ya kufanya hivyo.

Kuweka Picha Mtandaoni na Sifa Zako

Ona jinsi ya kuwa mwangalifu kabla ya kuweka picha mtandaoni.

Nifanye Nini Nikinyanyaswa Mtandaoni?

Unachopaswa kujua na kile unachoweza kufanya ili kujilinda.

Jinsi ya Kumnyamazisha Mnyanyasaji wa Mtandaoni

Daftari hili litakusaidia kupima manufaa na madhara ya maamuzi kadhaa na kuamua hatua za kuchukua ili kumnyamazisha mnyanyasaji wa mtandaoni.

Hatari Zilizojificha

Ninapaswa Kujua Nini Kuhusu Kufanya Mambo Mengi kwa Wakati Mmoja?

Je, unaweza kufanya mambo mengi kwa wakati mmoja bila kuchanganyikiwa?

Ninawezaje Kujifunza Kukazia Fikira?

Chunguza hali tatu ambazo teknolojia inaweza kukukengeusha na kile unachoweza kufanya ili kuboresha uwezo wako wa kukazia fikira.

Jilinde Dhidi ya Habari za Uwongo

Usiamini kila kitu unachosikia au kusoma. Jifunze jinsi ya kuchanganua habari na kuepuka uwongo.

Ninapaswa Kujua Nini Kuhusu Kutuma Ujumbe Mchafu?

Je, kuna mtu anayekushinikiza umtumie ujumbe mchafu? Kuna madhara gani ya kutuma ujumbe mchafu? Je, ni tendo lisilo na madhara la kumchezea mtu mwingine kimapenzi?