Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

“Habari Njema”! (Wimbo wa Kusanyiko la 2024)

“Habari Njema”! (Wimbo wa Kusanyiko la 2024)

(Luka 2:10)

Pakua:

  1. 1. “Tangazo la furaha”​—

    Habari njema—

    Kaja kutoka Bethlehemu.

    Yesu Mwokozi,

    Kazaliwa huko!

    (KORASI)

    Habari njema—

    Hizi za shangwe—

    Msifuni Yah!

    Habari njema—

    Na tuhubiri.

    Amezaliwa—

    Yeye ndiye njia.

  2. 2. Atawala kwa haki.

    Amani kote.

    Pia uzima wa milele.

    Ufalme wake.

    Hudumu milele.

    (KORASI)

    Habari njema—

    Hizi za shangwe—

    Msifuni Yah!

    Habari njema—

    Na tuhubiri.

    Amezaliwa—

    Yeye ndiye njia.

    (KORASI)

    Habari njema—

    Hizi za shangwe—

    Msifuni Yah!

    Habari njema—

    Na tuhubiri.

    Amezaliwa—

    Yeye ndiye njia.