Hamia kwenye habari

Sikukuu na Sherehe

Biblia Inasema Nini Kuhusu Krismasi?

Huenda historia ya desturi sita za Krismasi zinazopendwa na wengi ikakushangaza.

Yesu Alizaliwa Lini?

Ona ni kwa nini Krismasi husherehekewa Desemba 25.

Biblia Inasema Nini Kuhusu Ista?

Jifunze kuhusu vyanzo vya desturi tano za sikukuu ya Ista.

Chanzo cha Halloween Ni Nini?

Je, ni muhimu kuzingatia chanzo cha desturi za kipagani za Halloween?

Pasaka Ni Nini?

Ni mwadhimisho kuhusu nini? Kwa nini Yesu aliisherehekea lakini Wakristo leo hawafanyi hivyo?