Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

JW LUGHA

Maswali Yanayoulizwa Mara Nyingi​—JW Lugha (Windows)

Maswali Yanayoulizwa Mara Nyingi​—JW Lugha (Windows)

JW Lugha inaweza kutumiwa katika vifaa vifuatavyo:

  • Tablet na kompyuta zinazotumia Windows 10 au ya karibuni zaidi

Utegemezo kwa vifaa vifuatavyo hautapatikana:

  • Kompyuta zinazotumia Windows 8.1 au chini zaidi

  • Windows Phone (matoleo yote)

 

Unaweza kumwomba rafiki anayejua jinsi ya kutumia programu ya JW Lugha akusaidie. Hilo likishindikana, tafadhali jaza na utume fomu yetu ya msaada mtandaoni