Mashahidi wa Yehova Ulimwenguni Pote

United States of America

  • Dyer Bay, Maine, Marekani—Kufundisha kwa kutumia Biblia

  • Tallahassee, Florida, Marekani—Kuonyesha video Ni Nini Hutendeka Katika Jumba la Ufalme?

  • Dyer Bay, Maine, Marekani—Kufundisha kwa kutumia Biblia

  • Tallahassee, Florida, Marekani—Kuonyesha video Ni Nini Hutendeka Katika Jumba la Ufalme?

Taarifa Fupi—United States of America

  • 336,679,000—Idadi
  • 1,233,609—Wahudumu Wanaofundisha Biblia
  • 11,942—Makutaniko
  • 1 kwa 276—Uwiano wa Mashahidi wa Yehova kwa kulinganishwa na idadi ya watu nchini

MASIMULIZI YA MASHAHIDI WA YEHOVA

Msaada kwa Wafanyakazi wa Hospitali Wanaokabiliana na Mkazo

Wafanyakazi wa hospitali moja wamepataje kitia-moyo katika kipindi hiki cha ugonjwa wa COVID-19?

MAISHA YA BETHELI

Tunakualika Utembelee Betheli ya Marekani

Matembezi yanatia ndani Makao Makuu ya Ulimwenguni Pote ya Mashahidi wa Yehova na ofisi ya tawi ya Marekani

MNARA WA MLINZI—TOLEO LA FUNZO

Walijitoa Wenyewe kwa Hiari—New York

Kwa nini wenzi wa ndoa waliofanikiwa maishani walihama kutoka kwenye nyumba yao ya kifahari na kuishi katika nyumba ndogo?