Mashahidi wa Yehova Ulimwenguni Pote

Visiwa vya Marshall

  • Kijiji cha Laura, eneo lenye matumbawe la Majuro, Visiwa vya Marshall ​—Kumhubiria mtengeneza mbata kwa lugha ya Kimarshall

Taarifa Fupi—Visiwa vya Marshall

  • 61,000—Idadi
  • 138—Wahudumu Wanaofundisha Biblia
  • 4—Makutaniko
  • 1 kwa 496—Uwiano wa Mashahidi wa Yehova kwa kulinganishwa na idadi ya watu nchini

MNARA WA MLINZI—TOLEO LA FUNZO

Walijitoa Wenyewe kwa Hiari—Micronesia

Wale wanaotoka nchi nyingine ili kutumika katika Visiwa vya Pasifiki mara nyingi hukabili changamoto tatu. Wahubiri hawa wa Ufalme hukabilianaje na hali hizo?