Mashahidi wa Yehova Ulimwenguni Pote

Indonesia

  • Bali, Indonesia​—Kumfundisha Biblia mfanyakazi kwenye mashamba ya mpunga karibu na mji wa Ubud

Taarifa Fupi—Indonesia

  • 281,844,000—Idadi
  • 31,023—Wahudumu Wanaofundisha Biblia
  • 491—Makutaniko
  • 1 kwa 9,275—Uwiano wa Mashahidi wa Yehova kwa kulinganishwa na idadi ya watu nchini

2016 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova

Indonesia

Mashahidi wa Yehova walikabili kwa ujasiri misukosuko ya kisiasa,mizozo ya kidini na marufuku yaliyochochewa na viongozi wa dini kwa miaka 25.

TAARIFA ZA HABARI

Dharura Iliyotokea Ulimwenguni Pote: Kutegemeza Ndugu Zetu Pindi Magonjwa Yanayoenea na Majanga Yanapotokea

Baraza Linaloongoza litaendelea kutoa mwongozo kwa wakati kwa ajili ya ndugu na dada zetu ulimwenguni pote katika kipindi hiki.

HIFADHI YETU YA VITU VYA KALE

Lightbearer Yapeleka Nuru ya Kiroho Kusini Mashariki Mwa Bara la Asia

Licha ya upinzani, kikundi kidogo cha wasafiri wa Lightbearer kilisambaza kwa ujasiri nuru ya kweli za Biblia katika eneo kubwa na lenye watu wengi.

AMKENI!

Kutembelea Indonesia

Jifunze kuhusu utamaduni na desturi za watu hawa wenye urafiki, subira, na ukarimu.