Hamia kwenye habari

JE, NI KAZI YA UBUNI?

Mfumo wa Kusafirisha Oksijeni

Mfumo wa Kusafirisha Oksijeni

Chembe nyekundu zinachukuaje oksijeni kutoka kwenye mapafu na kuipeleka mahali inapohitajika na kwa wakati unaofaa?