Hamia kwenye habari

JE, NI KAZI YA UBUNI?

Chungu Wanaepukaje Msongamano Barabarani?

Chungu Wanaepukaje Msongamano Barabarani?

Wakitumia silika, chungu hufanya kazi wakiwa vikundi bila kusababisha msongamano.