Hamia kwenye habari

KOREA KUSINI

RIPOTI YA PEKEE: Utumishi wa Badala wa Kiraia Nchini Korea Kusini

RIPOTI YA PEKEE: Utumishi wa Badala wa Kiraia Nchini Korea Kusini

Ripoti hii ya pekee kuhusu utumishi wa badala wa kiraia (ACS) nchini Korea Kusini imetayarishwa na shirika la Asia-Pacific Association of Jehovah’s Witnesses (APAJW) ili isambazwe na kuzungumziwa na maofisa wa serikali, vyombo vya habari, na wasomi. Ripoti hii inaonyesha jinsi ACS imekuwa ikitekelezwa kufikia mwezi huu.

DPakua katika Kiingereza

Pakua katika Kikorea

Tafadhali angalia ripoti ya pekee ya mwanzo iliyotayarishwa na APAJW wakati ambapo ACS ilianza kutumika nchini Korea Kusini mwezi Oktoba 2021.

Pakua katika Kiingereza

Pakua katika Kikorea

Ona habari za ziada zenye maelezo yaliyotolewa na watalaaamu wa kisheria wa Korea pamoja na wasomi wengine kuhusu jinsi utumishi wa ACS unavyotumiwa kama adhabu.

Pakua katika Kiingereza

Pakua katika Kikorea