Hamia kwenye habari

Korea Kusini

 

Mashahidi wa Yehova nchini Korea Kusini

  • Mashahidi wa Yehova​—106,161

  • Makutaniko​—1,252

  • Hudhurio kwenye Ukumbusho wa kifo cha Kristo uanofanywa kila mwaka​—138,920

  • Uwiano wa Mashahidi wa Yehova kwa kulinganisha na idadi wa watu nchini​—1 kwa 485

  • Idadi ya watu​—51,408,000

  • Mashahidi ambao Wamefungwa kwa Sababu ya Imani Yao​—0

2019-09-20

KOREA KUSINI

Msimamo wa Kikristo wa Kutounga Mkono Upande Wowote Nchini Korea Kusini​—Historia ya Imani na Ujasiri

Tangu mwaka wa 1953, akina ndugu vijana nchini Korea ambao ni Mashahidi wa Yehova wamefungwa kwa kukataa utumishi wa kijeshi kwa sababu ya dhamiri. Mnamo Februari 2019, hali hiyo ilibadilika. Jifunze ni nini kilichoongoza kwenye tukio hilo la kihistoria.