Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

WATCHTOWER LIBRARY

Sakinisha Watchtower Library

Sakinisha Watchtower Library

Fuata hatua zifuatazo ili kupakua na kusakinisha Watchtower Library:

  1. 1. Bofya kitufe cha Pakua kilicho mwishoni mwa ukurasa huu.

  2. 2. Chagua lugha unayotaka katika kipengele cha lugha, kisha bofya kitufe chenye alama ya Pakua ili upate Watchtower Library .exe file.

  3. 3. Fungua faili uliyoipakua, kisha fuata maelekezo yanayotokeza kwenye skrini yako ili ufaulu kusakinisha Watchtower Library.

  4. 4. Kwa kawaida unaposakinisha Watchtower Library kwa mara ya kwanza unahitaji kupakua machapisho yaliyo katika maktaba hiyo. Ili kufanya hivyo, fuata hatua zifuatazo:

    1. a. Fungua Watchtower Library.

    2. b. Bofya kitufe cha Help, kisha chagua Check for Updates.

    Pia, unaweza kutumia njia nyingine ya badala kwa ajili ya kupakua na kusasisha kwa kufuata hatua katika makala yenye kichwa “Sasisha Watchtower Library.