Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

JW LIBRARY SIGN LANGUAGE

Njia Rahisi za Kucheza Video

Njia Rahisi za Kucheza Video

Ishara za Skrini ya Kugusa

Unapotumia kifaa kinachotumika kwa kugusa skrini, tumia ishara ili kucheza video.

  • Cheza au simamisha video kwa kugusa kwa vidole viwili.

  • Unaweza kupata video inayofuata kwa kutelezesha kidole kuelekea kushoto. Ili kupata video iliyotangulia, telezesha kuelekea kulia.

  • Ongeza kasi ya video kwa kutelezesha kuelekea juu. Punguza kasi ya video kwa kutelezesha kuelekea chini.

Vifupisho vya Kibodi

Katika kifaa kinachotumia programu ya Windows kilicho na kibodi, bofya vitufe vifuatavyo unapoonyesha video:

Iliyotangulia

Mshale wa Kushoto

Rudi nyuma sekunde 5

Ctrl + Mshale wa Kushoto

Cheza/Simamisha

Kitufe cha nafasi

Songa mbele sekunde 15

Ctrl + Mshale wa Kulia

Inayofuata

Mshale wa Kulia

Funga video

Esc

Kurudia video iliyotangulia

Page Up

Kucheza video inayofuata

Page Down

Kuongeza kasi ya video

Ctrl + Mshale wa juu

Kupunguza kasi ya video

Ctrl + Mshale wa chini