Taarifa Fupi—Zambia
- 20,018,000—Idadi
- 239,427—Wahudumu Wanaofundisha Biblia
- 3,605—Makutaniko
- 1 kwa 95—Uwiano wa Mashahidi wa Yehova kwa kulinganishwa na idadi ya watu nchini
TAARIFA ZA HABARI
Kitabu cha Mathayo Chatolewa Katika Lugha ya Ishara ya Zambia
TAARIFA ZA HABARI
Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo Yatolewa Katika Lugha ya Mbunda
TAARIFA ZA HABARI
Biblia Imetolewa Katika Lugha ya Lunda
MASIMULIZI YA MAISHA
Dayrell Sharp: Kwa Nguvu za Mungu Haturudi Nyuma
Licha ya hali ngumu, Dayrell na Susanne Sharp waliwasaidia zaidi ya watu 130 kufanya maendeleo na kubatizwa.