Taarifa Fupi—Uturuki
- 85,957,000—Idadi
- 5,692—Wahudumu Wanaofundisha Biblia
- 71—Makutaniko
- 1 kwa 15,502—Uwiano wa Mashahidi wa Yehova kwa kulinganishwa na idadi ya watu nchini
TAARIFA ZA HABARI
HABARI ZA KARIBUNI—Makumi ya Maelfu Waathiriwa na Tetemeko Kubwa Uturuki
MNARA WA MLINZI—TOLEO LA FUNZO
Walijitoa Wenyewe kwa Hiari—Nchini Uturuki
Mwaka wa 2014, kulikuwa na kampeni ya pekee ya kuhubiri nchini Uturuki. Kwa nini kampeni hiyo ilifanywa? Kulikuwa na matokeo gani?