Mashahidi wa Yehova Ulimwenguni Pote

Thailandi

  • Damnoen Saduak, Thailand—Kuhubiri katika soko linaloelea

Taarifa Fupi—Thailandi

  • 70,183,000—Idadi
  • 5,350—Wahudumu Wanaofundisha Biblia
  • 144—Makutaniko
  • 1 kwa 13,275—Uwiano wa Mashahidi wa Yehova kwa kulinganishwa na idadi ya watu nchini

TAARIFA ZA HABARI

Ubalozi wa Thailand Watoa “Shukrani Nyingi na Pongezi” kwa Mashahidi wa Yehova Nchini Peru kwa Kuwasaidia Raia wa Thailand Waliofungwa

Wawakilishi kutoka kwenye Ubalozi wa Thailand waliwatembelea Mashahidi wa Yehova nchini Peru kuwashukuru kwa kazi yao na msaada wa kibinafsi wanaowapa wafungwa ambao ni raia wa Thailand.

TAARIFA ZA HABARI

Maofisa Nchini Thailand Watumia Machapisho ya Mashahidi wa Yehova Kuisaidia Jamii

Kwa miaka mitatu iliyopita, maofisa nchini Thailand wamekuwa wakitumia machapisho ya Mashahidi kushughulikia masuala ya kijamii.