Mashahidi wa Yehova Ulimwenguni Pote

Visiwa vya Turks na Caicos

Taarifa Fupi—Visiwa vya Turks na Caicos

  • 40,000—Idadi
  • 340—Wahudumu Wanaofundisha Biblia
  • 7—Makutaniko
  • 1 kwa 122—Uwiano wa Mashahidi wa Yehova kwa kulinganishwa na idadi ya watu nchini

TAARIFA ZA HABARI

Mashahidi Waharakisha Jitihada za Kutoa Msaada

Ofisi za tawi za Mashahidi wa Yehova zinatoa ripoti kuhusu kazi inayoendelea ya kutoa msaada na faraja ya kiroho kwa wale walioathiriwa na Vimbunga Irma na Maria.