Taarifa Fupi—Eswatini
- 1,198,000—Idadi
- 3,269—Wahudumu Wanaofundisha Biblia
- 76—Makutaniko
- 1 kwa 377—Uwiano wa Mashahidi wa Yehova kwa kulinganishwa na idadi ya watu nchini
MNARA WA MLINZI—TOLEO LA FUNZO
Mfalme Alifurahi Sana!
Soma kuhusu jinsi mfalme wa Swaziland alivyothamini kujifunza kweli za Biblia.