Mashahidi wa Yehova Ulimwenguni Pote

Panama

  • Guna Yala, Panama​—Kumhubiria mvuvi Mguna (awali waliitwa Wakuna) kwa lugha yake ya asili katika kisiwa cha Nurdub

Taarifa Fupi—Panama

  • 4,511,000—Idadi
  • 18,525—Wahudumu Wanaofundisha Biblia
  • 310—Makutaniko
  • 1 kwa 247—Uwiano wa Mashahidi wa Yehova kwa kulinganishwa na idadi ya watu nchini

AMKENI!

Kutembelea Panama

Panama ni maarufu kwa sababu ya mfereji wake. Soma mengi kuhusu nchi hiyo na watu wanaokaa humo.