Mashahidi wa Yehova Ulimwenguni Pote

New Caledonia

  • Ufuko wa Anse Vata, Nouméa, New Caledonia—Kumsomea mtu Biblia

Taarifa Fupi—New Caledonia

  • 271,000—Idadi
  • 2,693—Wahudumu Wanaofundisha Biblia
  • 34—Makutaniko
  • 1 kwa 103—Uwiano wa Mashahidi wa Yehova kwa kulinganishwa na idadi ya watu nchini

TAARIFA ZA HABARI

Mashahidi wa Yehova Watoa Msaada Baada ya Tufani ya Pam

Mashahidi wanatoa msaada wa kimwili na pia faraja na msaada wa kiroho kwa walioathiriwa.