Mashahidi wa Yehova Ulimwenguni Pote

Malaysia

  • George Town, Malasia—Kuhubiri kuhusu Ufalme wa Mungu

Taarifa Fupi—Malaysia

  • 33,200,000—Idadi
  • 5,645—Wahudumu Wanaofundisha Biblia
  • 119—Makutaniko
  • 1 kwa 5,959—Uwiano wa Mashahidi wa Yehova kwa kulinganishwa na idadi ya watu nchini

HIFADHI YETU YA VITU VYA KALE

Lightbearer Yapeleka Nuru ya Kiroho Kusini Mashariki Mwa Bara la Asia

Licha ya upinzani, kikundi kidogo cha wasafiri wa Lightbearer kilisambaza kwa ujasiri nuru ya kweli za Biblia katika eneo kubwa na lenye watu wengi.