Mashahidi wa Yehova Ulimwenguni Pote

Sri Lanka

  • Hatton, Sri Lanka​—kuwapatia broshua wachumaji wa chai

Taarifa Fupi—Sri Lanka

  • 22,181,000—Idadi
  • 7,003—Wahudumu Wanaofundisha Biblia
  • 98—Makutaniko
  • 1 kwa 3,195—Uwiano wa Mashahidi wa Yehova kwa kulinganishwa na idadi ya watu nchini

JINSI MICHANGO YAKO INAVYOTUMIWA

Ziada Ilijazia Upungufu

Gharama zinazohusiana na utendaji wetu zinashughulikiwaje katika nchi zilizo na uwezo mdogo wa kifedha?

TAARIFA ZA HABARI

Sri Lanka Wafanya Kusanyiko Lao la Kwanza la Pekee

Maelfu ya Mashahidi wa Yehova kutoka nchi saba walijiunga na ndugu na dada zao nchini Sri Lanka kwa ajili ya kusanyiko la pekee, la kwanza nchini Sri Lanka.

2015 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova

Kuweka Wakfu Ofisi ya Tawi ya Sri Lanka

Programu hiyo ilipeperushwa kwa Intaneti kwa njia ya pekee sana.