Mashahidi wa Yehova Ulimwenguni Pote

Kyrgyzstan

  • Bishkek, Kyrgyzstan​—Kuonyesha video Kwa Nini Ujifunze Biblia? ya lugha ya Kirghiz

Taarifa Fupi—Kyrgyzstan

  • 7,038,000—Idadi
  • 5,167—Wahudumu Wanaofundisha Biblia
  • 86—Makutaniko
  • 1 kwa 1,387—Uwiano wa Mashahidi wa Yehova kwa kulinganishwa na idadi ya watu nchini

TAARIFA ZA HABARI

Mahakama ya Kyrgyzstan Yatoa Uamuzi wa Kuwatetea Wanaokataa Kujiunga na Jeshi kwa Sababu ya Dhamiri

Uamuzi wa kurekebisha sheria ya mwaka wa 2009 utawasaidia Mashahidi wa Yehova kufanya utumishi wa badala wa kiraia usiohusisha mambo ya kijeshi.

MNARA WA MLINZI—TOLEO LA FUNZO

Mambo Yote Yanawezekana kwa Yehova

Maneno machache yaliyosikiwa kwenye basi nchini Kyrgyzstan yalibadili maisha ya wenzi fulani wa ndoa.

AMKENI!

Kutembelea Kyrgyzstan

Watu nchini Kyrgyzstan ni wakarimu na wanaheshimu wengine. Ni desturi gani zinazotambulisha maisha ya familia zao?