Taarifa Fupi—Kenya
- 55,101,000—Idadi
- 31,017—Wahudumu Wanaofundisha Biblia
- 605—Makutaniko
- 1 kwa 1,863—Uwiano wa Mashahidi wa Yehova kwa kulinganishwa na idadi ya watu nchini
TAARIFA ZA HABARI
Serikali ya Kenya Imetoa Mwongozo Unaolinda Haki za Wanafunzi
TAARIFA ZA HABARI
Majengo Mapya ya Shule ya Kitheokrasi Yawekwa Wakfu Nchini Kenya
MNARA WA MLINZI—TOLEO LA FUNZO
Baraka za Yehova Zilipita Matarajio Yangu Yote
Mambo ambayo ndugu Manfred Tonak alijionea alipokuwa mmishonari Afrika yamemsaidia kusitawisha sifa ya subira, kuridhika, na sifa nyingine nyingi nzuri.