Mashahidi wa Yehova Ulimwenguni Pote

Honduras

  • Copán, Honduras​—Kutoa kitabu Biblia Inafundisha Nini Hasa?

Taarifa Fupi—Honduras

  • 9,727,000—Idadi
  • 21,646—Wahudumu Wanaofundisha Biblia
  • 418—Makutaniko
  • 1 kwa 452—Uwiano wa Mashahidi wa Yehova kwa kulinganishwa na idadi ya watu nchini

AMKENI!

Kutembelea Honduras

Pata kujua utamaduni wa nchi hii ya Amerika ya Kati.