Mashahidi wa Yehova Ulimwenguni Pote

Hong Kong

  • Shau Kei Wan, Hong Kong—Kutoa gazeti la Amkeni!

Taarifa Fupi—Hong Kong

  • 7,498,000—Idadi
  • 5,464—Wahudumu Wanaofundisha Biblia
  • 70—Makutaniko
  • 1 kwa 1,380—Uwiano wa Mashahidi wa Yehova kwa kulinganishwa na idadi ya watu nchini

MNARA WA MLINZI

Kupata Kitu Bora Zaidi ya Umaarufu

Ndani ya siku moja, Mina Hung Godenzi alibadilika na kuwa mtu maarufu, lakini aligundua kwamba maisha yake mapya hayakuwa jinsi ambavyo aliwazia yangekuwa.