Mashahidi wa Yehova Ulimwenguni Pote

Ghana

  • Aburi, Ghana—Kuhubiri kuhusu Ufalme wa Mungu

Taarifa Fupi—Ghana

  • 33,063,000—Idadi
  • 153,657—Wahudumu Wanaofundisha Biblia
  • 2,484—Makutaniko
  • 1 kwa 220—Uwiano wa Mashahidi wa Yehova kwa kulinganishwa na idadi ya watu nchini

MNARA WA MLINZI—TOLEO LA FUNZO

Walijitoa Wenyewe kwa Hiari Nchini Ghana

Kuna changamoto na thawabu nyingi kwa wale wanaochagua kutumikia mahali penye uhitaji mkubwa wa wahubiri wa Ufalme.