Mashahidi wa Yehova Ulimwenguni Pote

Guiana ya Ufaransa

Taarifa Fupi—Guiana ya Ufaransa

  • 312,000—Idadi
  • 2,937—Wahudumu Wanaofundisha Biblia
  • 46—Makutaniko
  • 1 kwa 109—Uwiano wa Mashahidi wa Yehova kwa kulinganishwa na idadi ya watu nchini

MASIMULIZI YA MASHAHIDI WA YEHOVA

Kusafiri Kwenye Mto Maroni

Kikundi cha Mashahidi 13 wa Yehova kilifunga safari ya kuwahubiria watu wanaoishi katika maeneo ya mbali kwenye msitu wa mvua wa Amazon huko Amerika Kusini.