Taarifa Fupi—Georgia
- 3,736,000—Idadi
- 18,841—Wahudumu Wanaofundisha Biblia
- 224—Makutaniko
- 1 kwa 199—Uwiano wa Mashahidi wa Yehova kwa kulinganishwa na idadi ya watu nchini
TAARIFA ZA HABARI
Kitabu cha Mathayo Kimetolewa Katika Kimingrelia
TAARIFA ZA HABARI
Kusanyiko la Kwanza la Pekee Kufanywa Tbilisi, Georgia
Tukio hilo la kitheokrasi, ambalo limefanywa kwa mara ya kwanza nchini Georgia, lilihusisha karamu kubwa ya kiroho, ukarimu, na pindi za kufurahia utamaduni na historia ya eneo hilo.
TAARIFA ZA HABARI
Mahakama ya Ulaya ya Haki za Kibinadamu Yaridhishwa na Hatua ya Serikali ya Georgia Kukiri Kuwa na Hatia
Mahakama ya Ulaya ya Haki za Kibinadamu(ECHR) yaridhishwa na hatua ya Jamhuri ya Georgia kukiri kuwa ilikiuka haki za Mashahidi wa Yehova kumi.
TAARIFA ZA HABARI
Mahakama ya Ulaya Yatetea Haki ya Kidini ya Mashahidi wa Yehova Nchini Georgia
Uamuzi wa karibuni wa ECHR unalinda uhuru wa Mashahidi kukusanyika pamoja kwa ajili ya ibada na kuwaeleza majirani wao imani yao ya kidini kwa amani.
MNARA WA MLINZI
Maandishi ya Kale Yenye Thamani
Soma uone jinsi tafsiri ya kale zaidi ya Biblia katika Kigeorgia ilivyopatikana.