Mashahidi wa Yehova Ulimwenguni Pote

Uingereza

  • London, Uingereza​—Kuzungumza na wapita njia kwenye daraja la Westminster Bridge

Taarifa Fupi—Uingereza

  • 66,357,000—Idadi
  • 142,073—Wahudumu Wanaofundisha Biblia
  • 1,599—Makutaniko
  • 1 kwa 474—Uwiano wa Mashahidi wa Yehova kwa kulinganishwa na idadi ya watu nchini

MIRADI YA UJENZI

“Wanawake Wanatimiza Mengi Sana Katika Ujenzi”

Huenda ukashangaa kujua ni kazi gani ambazo wanafanya kwa ustadi.

MIRADI YA UJENZI

Kulinda Wanyama Katika Eneo la Chelmsford

Mashahidi wa Yehova nchini Uingereza wameanza kujenga ofisi yao mpya ya tawi karibu na Chelmsford. Wanafanya nini ili kuwalinda wanyama?

KAZI YA UCHAPISHAJI

Kuhubiri Katika Lugha za Asili za Ireland na Uingereza

Mashahidi wa Yehova wanajitahidi kuwahubiria watu wanaozungumza lugha za asili za Ireland na Uingereza. Wamepata matokeo gani?

KUSAIDIA JAMII

Vijana Wasaidiwa Kukabiliana na Unyanyasaji Shuleni

Hugo, mwenye umri wa miaka kumi, alipata Tuzo ya Diana kwa kuwasaidia wanafunzi wenzake kukabiliana na unyanyasaji. Kijana huyu alifaulu jinsi gani?