Mashahidi wa Yehova Ulimwenguni Pote

Ufaransa

  • Paris, Ufaransa​—Kuhubiri ujumbe wa Biblia karibu na Mto Seine

Taarifa Fupi—Ufaransa

  • 64,793,000—Idadi
  • 138,133—Wahudumu Wanaofundisha Biblia
  • 1,461—Makutaniko
  • 1 kwa 474—Uwiano wa Mashahidi wa Yehova kwa kulinganishwa na idadi ya watu nchini

MNARA WA MLINZI—TOLEO LA FUNZO

“Yehova Aliwaleta Ufaransa ili Mjifunze Kweli”

Mkataba wa uhamiaji wa mwaka wa 1919 uliosainiwa na nchi ya Ufaransa na Poland ulikuwa na matokeo yasiyotarajiwa

MNARA WA MLINZI—TOLEO LA FUNZO

“Msiruhusu Kitu Chochote Chini ya Jua Kiwazuie!”

Watumishi wa wakati wote wa miaka ya 1930 nchini Ufaransa, waliacha historia nzuri ya bidii na uvumilivu.