Mashahidi wa Yehova Ulimwenguni Pote

Denmark

  • Ebeltoft, Denmark—Kutoa trakti Ni Nini Siri ya Kuwa na Familia Yenye Furaha?

Taarifa Fupi—Denmark

  • 5,941,000—Idadi
  • 14,639—Wahudumu Wanaofundisha Biblia
  • 172—Makutaniko
  • 1 kwa 410—Uwiano wa Mashahidi wa Yehova kwa kulinganishwa na idadi ya watu nchini

TAARIFA ZA HABARI

Mashahidi wa Yehova Wachochea Upasuaji Usiohusisha Damu Nchini Denmark

Vyombo mashuhuri vya habari vinaripoti kwamba wahudumu wa afya nchini Denmark wameanza kuwa na maoni mapya kuhusu matumizi ya damu na upasuaji usiohusisha damu.