Mashahidi wa Yehova Ulimwenguni Pote

Jamhuri ya Czech

Taarifa Fupi—Jamhuri ya Czech

  • 10,851,000—Idadi
  • 16,764—Wahudumu Wanaofundisha Biblia
  • 217—Makutaniko
  • 1 kwa 657—Uwiano wa Mashahidi wa Yehova kwa kulinganishwa na idadi ya watu nchini

TAARIFA ZA HABARI

Mahakama Katika Jamhuri ya Cheki na Slovakia Zawaondolea Mashtaka Waabudu Wenzetu

Kuanzia Mei 1, 2017 hadi Januari 8, 2018, mahakama katika Jamhuri ya Cheki na Slovakia zimewaondolea mashtaka ndugu zetu waliohukumiwa kuwa wahalifu wakati uliopita kwa kukataa kujiunga na jeshi kwa sababu ya dhamiri au kwa kushiriki kazi ya kuhubiri.