Mashahidi wa Yehova Ulimwenguni Pote

Kolombia

  • Santa Fe de Antioquia, Colombia—Kushiriki ujumbe wa Biblia

Taarifa Fupi—Kolombia

  • 51,673,000—Idadi
  • 186,712—Wahudumu Wanaofundisha Biblia
  • 2,271—Makutaniko
  • 1 kwa 279—Uwiano wa Mashahidi wa Yehova kwa kulinganishwa na idadi ya watu nchini

TAARIFA ZA HABARI

Mashahidi Nchini Kolombia Wapewa Tuzo na Shirika la Kutafsiri la Lugha ya Ishara

Mashahidi wa Yehova nchini Kolombia walipokea tuzo mbili zilizotambua jitihada zao za kusaidia jamii ya Lugha ya Ishara ya Kolombia.