Mashahidi wa Yehova Ulimwenguni Pote

Kamerun

  • Buea, Kamerun​—Kumhubiria mchumaji chai karibu na Mlima Kamerun

Taarifa Fupi—Kamerun

  • 28,608,000—Idadi
  • 44,558—Wahudumu Wanaofundisha Biblia
  • 500—Makutaniko
  • 1 kwa 665—Uwiano wa Mashahidi wa Yehova kwa kulinganishwa na idadi ya watu nchini

JINSI MICHANGO YAKO INAVYOTUMIWA

Ujenzi Wafanikiwa Kabla ya Ugonjwa wa Corona

Tulipanga kujenga au kukarabati maeneo zaidi ya 2,700 ya ibada katika mwaka wa utumishi wa 2020. Ugonjwa wa COVID-19 uliathirije mipango hiyo?

AMKENI!

Tembelea Kamerun

Soma kuhusu desturi na watu wa nchi hii ya Afrika.