Mashahidi wa Yehova Ulimwenguni Pote

Chile

  • Karibu na volkano ya Calbuco, nchini Chile​—Kuzungumzia tumaini la Biblia la uzima wa milele katika paradiso duniani

  • Valparaiso, Chile​—Kushiriki na mtu andiko la Biblia

  • Karibu na volkano ya Calbuco, nchini Chile​—Kuzungumzia tumaini la Biblia la uzima wa milele katika paradiso duniani

  • Valparaiso, Chile​—Kushiriki na mtu andiko la Biblia

Taarifa Fupi—Chile

  • 19,961,000—Idadi
  • 87,175—Wahudumu Wanaofundisha Biblia
  • 964—Makutaniko
  • 1 kwa 232—Uwiano wa Mashahidi wa Yehova kwa kulinganishwa na idadi ya watu nchini

TAARIFA ZA HABARI

Mashahidi Watoa Msaada Baada ya Mafuriko Nchini Chile

Mara moja baada ya mafuriko na maporomoko makubwa ya ardhi nchini Chile, Mashahidi wa Yehova jijini Copiapó walifanyiza kamati ya kutoa msaada.

MNARA WA MLINZI—TOLEO LA FUNZO

Kampeni Iliyopangwa Vizuri Yanafanikiwa

Soma kuhusu jinsi msichana wa-miaka-kumi alivyojitahidi kuwaalika katika tukio la pekee wote waliozungumza lugha ya Mapudungun shuleni mwao.