Mashahidi wa Yehova Ulimwenguni Pote

Jamhuri ya Afrika ya Kati

Taarifa Fupi—Jamhuri ya Afrika ya Kati

  • 5,119,000—Idadi
  • 2,932—Wahudumu Wanaofundisha Biblia
  • 64—Makutaniko
  • 1 kwa 1,791—Uwiano wa Mashahidi wa Yehova kwa kulinganishwa na idadi ya watu nchini

TAARIFA ZA HABARI

Mashahidi Katika Jamhuri ya Afrika ya Kati Wakimbia Vita

Mashahidi wa Yehova ni miongoni mwa mamia ya maelfu katika Jamhuri ya Afrika ya Kati waliokimbilia mataifa jirani ili kutoroka vita vya kikabila na kidini.

MNARA WA MLINZI—TOLEO LA FUNZO

Nimeazimia Sitalegeza Mikono Yangu

Jifunze kuhusu mambo yenye kusisimua ambayo Maxim Danyleyko amefurahia katika miaka 68 ya utumishi wa umishonari.