Mashahidi wa Yehova Ulimwenguni Pote

Kongo, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

  • Karibu na Kisangani, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo​—Kumhubiria mvuvi katika Maporomoko ya Maji ya Wagenia (Stanley)

Taarifa Fupi—Kongo, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

  • 98,152,000—Idadi
  • 257,672—Wahudumu Wanaofundisha Biblia
  • 4,385—Makutaniko
  • 1 kwa 402—Uwiano wa Mashahidi wa Yehova kwa kulinganishwa na idadi ya watu nchini

JINSI MICHANGO YAKO INAVYOTUMIWA

Kutoa Msaada Katika 2021—Hatuwaachi Ndugu na Dada Zetu

Katika mwaka wa 2021, nchi nyingi zilihitaji msaada, si wa kukabiliana na COVID-19 peke yake, bali pia misiba mingine mikubwa.

TAARIFA ZA HABARI

Ndugu Kaskazini-Mashariki mwa Kongo Wakimbia Vita

Licha ya kupoteza makao, Mashahidi wa Yehova waliokimbia wanakutana kwa ajili ya ibada na wanashiriki kwa bidii tumaini lao linalotegemea Biblia.

TAARIFA ZA HABARI

Mashahidi wa Yehova Watoa Msaada kwa Watu Walioathiriwa na Vita Nchini Kongo

Mashahidi wa Yehova wanatoa misaada na kuwategemeza kiroho waabudu wenzao walioathiriwa na vita vinavyoendelea katika eneo la Kasai katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

KAZI YA UCHAPISHAJI

Usambazaji wa Machapisho ya Biblia Nchini Kongo

Mashahidi wa Yehova wanasafiri mbali ili kusambaza Biblia na machapisho yanayotegemea Biblia kwa watu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.