Mashahidi wa Yehova Ulimwenguni Pote

Bolivia

  • La Guardia, Bolivia​—Kuzungumzia Biblia

Taarifa Fupi—Bolivia

  • 12,152,000—Idadi
  • 29,440—Wahudumu Wanaofundisha Biblia
  • 452—Makutaniko
  • 1 kwa 419—Uwiano wa Mashahidi wa Yehova kwa kulinganishwa na idadi ya watu nchini

TAARIFA ZA HABARI

Mashahidi wa Yehova Wapewa Tuzo kwa Kuwa na Maonyesho ya Utamaduni wa Asili Katika Kusanyiko la Eneo Nchini Bolivia

Mashahidi walipewa tuzo hizo kwa kazi kubwa waliyofanya kurekebisha eneo la kusanyiko na kutengeneza maonyesho ya utamaduni wa asili wa Bolivia.