Mashahidi wa Yehova Ulimwenguni Pote

Benin

  • Eneo karibu na Boukoumbé, Benin​—Kutoa broshua Habari Njema Kutoka kwa Mungu!

Taarifa Fupi—Benin

  • 13,124,000—Idadi
  • 14,838—Wahudumu Wanaofundisha Biblia
  • 260—Makutaniko
  • 1 kwa 930—Uwiano wa Mashahidi wa Yehova kwa kulinganishwa na idadi ya watu nchini

MNARA WA MLINZI—TOLEO LA FUNZO

Walijitoa Wenyewe kwa Hiari—Afrika Magharibi

Ni nini kilichowachochea baadhi ya watu kutoka Ulaya kuhamia Afrika Magharibi na wamenufaika jinsi gani?