BIBLIA INABADILI MAISHA
Johny na Gideon: Walikuwa Maadui, Sasa Ni Ndugu
Ubaguzi wa rangi ulimfanya Johny na Gideon wawe katika upande tofauti kuhusu sera ya kuwatenganisha watu. Jifunze jinsi walivyokabiliana na hali hiyo baada ya kipindi hicho cha ubaguzi wa rangi kwisha nchini Afrika Kusini.