Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

AMKENI! Na. 2 2021 | Teknolojia​—Inakutawala au Inakusaidia?

Je, teknolojia inakutawala au inakusaidia? Watu wengi wangejibu kwamba wana uwezo wa kudhibiti vifaa vyao vya kielektroni, na kwamba vifaa hivyo haviwezi kuwaongoza. Lakini teknolojia inaweza kuwaathiri watu kwa njia isiyo ya wazi​—hata kuwasababishia matatizo.

Teknolojia Inaathirije Uhusiano Wako na Wengine?

Teknolojia inaweza kukusaidia kuwasiliana na marafiki wako na hata kuboresha urafiki wenu.

Teknolojia Inawaathirije Watoto Wako?

Watoto wanaweza kutumia teknolojia kwa urahisi, lakini bado wanahitaji mwongozo.

Teknolojia Inaathirije Ndoa Yako?

Teknolojia inapotumiwa vizuri inaweza kuimarisha uhusiano wa mume na mke.

Teknolojia Inaathirije Uwezo Wako wa Kujifunza?

Teknolojia inaweza kuathiri uwezo wako wa kusoma, kukaza fikira, na mtazamo wako unapokuwa peke yako. Madokezo matatu yatakusaidia kuboresha uwezo wako wa kujifunza.

Jifunze Mengi Kupitia JW.ORG

Ni jambo gani ambalo ungependa kujifunza zaidi?

Katika Makala Hii

Ona jinsi teknolojia inavyoweza kuathiri uhusiano wako na wengine, familia yako, na hata uwezo wako wa kujifunza kwa njia zisizo za wazi lakini zenye madhara.