Hamia kwenye habari

Safu ya juu, kushoto hadi kulia: Ndugu Nikolay Dikhtyar na Ndugu Andrey Lyakhov

Safu ya chini, kushoto hadi kulia: Ndugu Yuriy Ponomarenko na Ndugu Oleg Sergeyev

MEI 29, 2023
URUSI

Kanuni za Biblia Zawasaidia Akina Ndugu Kuvumilia Mateso

Kanuni za Biblia Zawasaidia Akina Ndugu Kuvumilia Mateso

Mahakama ya Wilaya ya Pozharskiy iliyo Primorsky itatangaza hivi karibuni uamuzi wake katika kesi inayowahusu Ndugu Nikolay Dikhtyar, Ndugu Andrey Lyakhov, Ndugu Yuriy Ponomarenko, na Ndugu Oleg Sergeyev.

Maelezo Mafupi Kuwahusu

Tunajua kwamba, kama tu Andrey, Nikolay, Oleg, na Yuriy, sisi pia tunaweza kuwa na “vifaa kamili kwa ajili ya kila kazi njema” tukitumia kanuni za Biblia maishani mwetu.​—2 Timotheo 3:16, 17.

Mfuatano wa Matukio

  1. Julai 16, 2021

    Kesi ya uhalifu yafunguliwa dhidi ya Yuriy. Inadaiwa kwamba anashiriki katika utendaji wa shirika lenye msimamo mkali

  2. Julai 22, 2021

    Msako unafanywa nyumbani kwa Yuriy

  3. Julai 24, 2021

    Yuriy awekewa vizuizi vya kusafiri

  4. Novemba 1, 2021

    Msako unafanywa nyumbani kwa Oleg

  5. Novemba 2, 2021

    Oleg awekewa vizuizi vya kusafiri

  6. Februari 12, 2022

    Oleg ashtakiwa na kuongezwa kwenye kesi ya uhalifu

  7. Machi 14, 2022

    Nikolay ashtakiwa na kuongezwa kwenye kesi ya uhalifu

  8. Machi 15, 2022

    Andrey ashtakiwa na kuongezwa kwenye kesi ya uhalifu

  9. Agosti 10, 2022

    Kesi ya uhalifu yaanza