Hamia kwenye habari

Ndugu Maksim Zinchenko na mke wake, Karina

JANUARI 23, 2024 | HABARI ZIMEONGEZWA: APRILI 18, 2024
HABARI ZA ULIMWENGUNI POTE

HABARI ZA KARIBUNI—NDUGU AHUKUMIWA | “Mambo Yote Yanawezekana kwa Mtu Mwenye Imani”

HABARI ZA KARIBUNI—NDUGU AHUKUMIWA | “Mambo Yote Yanawezekana kwa Mtu Mwenye Imani”

Aprili 16, 2024 Mahakama ya Wilaya ya Nakhimovskiy iliyo katika mji wa Sevastopol ilimhukumu Ndugu Maksim Zinchenko kifungo cha miaka miwili na kazi ngumu. Atahitaji kukaa gerezani na kufanya kazi alizopangiwa kufanya katika jamii.

Maelezo Mafupi Kumhusu

Tuna uhakika kwamba Yehova atabariki ujasiri na uvumilivu wa Maksim na pia wengine wote wanaoendelea kufanya mapenzi Yake.​—Waebrania 10:35, 36.

Mfuatano wa Matukio

  1. Mei 17, 2023

    Alishtakiwa kwa madai ya kushiriki utendaji wa shirika lenye msimamo mkali

  2. Mei 22, 2023

    Nyumba yake ilifanyiwa msako. Maksim na Karina wakahojiwa. Maksim aliwekwa kizuizini

  3. Mei 24, 2023

    Maksim alitolewa kizuizini na kuwekwa kwenye kifungo cha nyumbani

  4. Julai 12, 2023

    Kesi ya uhalifu ilianza